Latest Post

Volunteer Human Resources Coordinators

Written By Unknown on Wednesday, October 14, 2015 | 2:36 PM



Volunteer Human Resources Coordinators - Dar es salaam
 Location: Rest of Africa-job
 Category: Internships & Volunteering
 Work Type :Internship & Volunteer
 Salary Not specified

VOLUNTEER JOB AT UHAI TANZANIA

Written By Unknown on Monday, October 12, 2015 | 4:40 AM


Job Vacancy > Volunteers cum Interns
Location > Dar Es Salaam
Position Type > Volunteer
Organization Type > NGO
Website > http://www.uhai.or.tz


UHAI Tanzania



Volunteer Job:Provide training and advice in photography


RAJADIGHI COMMUNITY HEALTH SERVICE SOCIETY


TASK

We are looking for online volunteers to support our ongoing different projects with technical knowledge in photography to catch the exact moments for effective development documentation and also to enhance the capacity of the organization by linking and sharing proven knowledge based information and providing potential links on the same.
The organisation will provide all necessary information as a back up support. Also the organization will send possible answers of relevant queries.
Number of volunteers: 5

BACKGROUND INFORMATION

The organization is presently working with various issues including health, environment, livelihood, self reliance, climate change adaptation, sustainable agriculture, prevention of child marriage, quality and inclusive education, child right, child protection, women empowerment, disaster preparedness and mitigation, financial and social inclusion.

We require constant support from different corners to enhance our knowledge.

OBJECTIVE

The online volunteers, using their expertise and technical know-how, will enhance our capacity for increased efficiency in ongoing project documentation through photography .
Region or country
South/East Asia, Pacific
Development topic
Health

REQUIREMENTS

Experience in photography development.
Areas of expertise
Arts
None in particular
Languages
English
 
Hours per week
6-10
Duration in weeks
52

Jobs at FINCA

Written By Unknown on Sunday, September 27, 2015 | 9:01 AM

FINCA MICROFINANCE BANK
EXCITING OPPORTUNITY
FINCA International, Inc (“FINCA”) is an organization created over 25 years ago with a mission to bring Financial Services to the world`s lowest-income entrepreneurs so that they can create jobs, build wealth and improve their standard of living. FINCA has successfully pursued this mission by operating through a network of microfinance all of whom share FINCA`s mission and operate under a double bottom line of social objectives and sustainability, established in 23 countries in Eurasia, Latin America, the Middle East and Africa (Uganda, Tanzania, Malawi, Zambia, the DRC and Nigeria) and serving over 1,500,000 clients worldwide.
FINCA Microfinance Bank Limited is a subsidiary of FINCA International in Tanzania has been operating since 1998 covering 19 regions i.e. Mwanza, Mara, Simiyu, Shinyanga, Hagera, Geita, Tabora, Dodoma, Morogoro, Iringa, Njombe, Mbeya, Ruvuma, Pwani, Dar es Salaam, Tanga, Kilimanjaro, Manyara and Arusha.
FINCA Microfinance Bank is looking for reputable and competent law firms which can render legal services to the bank in the regions mentioned hereinabove. The interested firms are called to submit their proposal to offer legal services as follows;
i. Reviewing and drafting of legal documents:
The law firm will be called upon from time to time to review FINCA`s documents and opine on the same, such documents may be in the form of but not limited to policies, employment contracts, security documents, any agreements entered into with third parties such as loan agreements and lease agreements.
ii. Issuing demand notices when requested to do so by FINCA
iii. Attesting legal documents when requested to do so by FINCA.
iv. Legal Searches
The law firm shall upon receiving instructions from FINCA to conduct official serious government registries situated in the regions which FINCA has operations.
v. Litigation/Mediation/Arbitration:
The law firm shall upon instructions represent FINCA on any ligation/Mediation and/or Arbitration matter that may involve FINCA or any of its clients or agents and be in a position to give legal advice legal representation, drafting and filing of court documents, and/or act as FINCA`s mediators and/or arbitrator in any legal matter. The law firm shall handle FINCA legal affairs across a branch network spanning as instructed by FINCA.
vi. Legal Advice
The law firm shall give legal advice on all legal matters involving FINCA including but not limited to the legal services mentioned above.
vii. Any other legal duties assigned to the law firm by FINCA during the tenure of the contract.

Required Documents and Information

1. Evidence of Registration.
2. Certified True Copy of the documents of registration.
3. Evidence of payment of tax for the last three years showing clearly Tax identification Number (TIN).
4. Company`s registered address, functional contact email addresses, telephone numbers and contact person (s).
5. Comprehensive company profile and verifiable evidence of similar jobs successfully executed including list of recent clients and their contacts.
6. List of services offered along with standard rates or sample pricing (pricing scheme/methodology).
7. Current practicing certificate.
8. List of the staffing in the law firm including their profiles.

NOTE: All current legal service providers are supposed to apply.

Submissions
Applications for the expression of interest accompanied by the above list of documents must be forwarded in a wax sealed envelope boldly marked at the top left corner “Expression of Interest for FINCA Services” and send to below address;
Administration Manager
FINCA Microfinance Bank Limited
Plot #84 Morogoro Road
P.O.BOX 78783
Magomeni Mwembechai
DAR ES SALAAM

Closing Date
All submission must be received at the above office not later than 6th October, 2015.
Important Notice
1. This is not an invitation to Tender. Full tendering procedure will be applied to law firms prequalified and found capable of executing the services.
2. All law firms interested are requested to collect pre-qualification form from our head office.
3. Only successful law firms will be contacted for the tender process.
4. Nothing in this advert shall be construed to be a commitment on the part of FINCA.
5. FINCA will manage all law firms payments through FINCA accounts.

Source: The Guardian 23rd September, 2015

Hizi ndo lugha wengi hawazijui katika CV

Written By Unknown on Sunday, August 30, 2015 | 1:23 AM



Resume language 
Write in the first person, but omit the subject (I) E.g. Poor: I Completed my bachelor’s degree at amewezaje  University. Good: Completed bachelor degree at Amewezaje  University
       -Use present tense for current activities, and past tense for past activities and achievements.
    
  -   For concise writing, omit articles (such as a, an, the, and my)

Kama CV yako ina makosa haya haina thamani.

Written By Unknown on Monday, April 6, 2015 | 3:14 AM




Katika kuandika CV yako tumia muda wako vizuri na usifanye makosa kama wengi wanavyofanya na kuishia kulalamika kuwa kazi hakuna .Makosa yafuatayo ni ya kawaida sana lakini ukiyafanya ni hakika CV yako haitakuwa na thamani tena:

        Makosa ya herufi na msamiati

        Kutolenga kazi maalum/kuandika kwa jumla

        Urefu usiofaa & ujumbe mbaya kuhusu historia ya kazi

        Muundo usiofaa na kutotumia vitone kubainisha ujumbe

        Kutoonyesha mafanikio yako

        Ujumbe kuhusu njia ya kuwasiliana nawe na barua pepe

        Malengo yasiyoeleweka kwa mwajiri

        Uongo /taarifa za uongo


Mambo manne ambayo makampuni ya kibiashara huyatarajia katika CV yako.

Written By Unknown on Monday, March 2, 2015 | 1:41 PM




Ni wazi kuwa katika biashara kila kampuni au taasisi huwana malengo yake ambayo hutaraji kuyafikia katika kipindi fulani.Mara nyingi malengo hayo hufikiwa kwa kupitia watumishi wa kampuni husika.Baada ya utafiti wa muda mrefu imegundulika kuwa makampuni ya kibiashara huhitaji watu wenye sifa kuuu nne.Hivyo unapoandika CV yako zingatia mambo haya ya msingi.
Ni kwa vipi unaweza kukuza biashara,mfanyabiashara mara zote hupenda kuona biashara yake ikikuwa,hivyo kama umewahi kufanyakazi kwenye kampuni ya kibiashara na unaomba kazi onesha ni kwa vipi ulitoa mchango wako katika kukuza biashara ile,Kama wewe hujawahi kufanya kazi onesha ni kwa vipi unaweza kuchangia katika kukuza biashara na kampuni kwa ujumla.

Hizi ndo aina za Usaili(Interview) katika soko la ajira

Written By Unknown on Friday, January 9, 2015 | 7:07 AM



Kuna aina nyingi tofauti za usaili.Aina hizi utazifahamu mara tu utapochaguliwa katika usaili.Utapochaguliwa katika usaili jitahidi kufanya bidii kujua ni akina nani watashiriki

Haya ndo maandalizi ya awali katika usaili-1

Written By Unknown on Sunday, November 30, 2014 | 11:51 AM


JITAMBUE
Hatua ya kwanza kabla ya kufanya usaili ni vizuri ukajifanyia tathmini wewe binafsi ili utambue  kitu gani unaweza kufanya kwa mwajiri iwapo utapata fursa.Ni vema ukajitathmini kwa kuzingatia ujuzi na udhoefu ulonao ambao utakufanya kujiuza zaidi kwa mwajiri wako wakati wote wa usaili.Jambo la muhimu katika kujiuza kwa mwajiri anza na uzoefu wako katika kazi kwa kutaja na kuelezea kwa undani shughuli ambazo umekuwa ukizifanya ( Katika ajira ya awali,Kazi za kujitolea,Miradi shuleni n.k) Kumbuka katika yote hayo usihanisha na nafasi unayoomba.

ANDAA MAVAZI UTAKOYOVAA KATIKA USAILI.
Kile utachovaa katika usaili pia ni sehemu muhimu sana katika maandalizi ya usaili.Ukishatambua nini utavaa katika usaili siku moja kabla ya usaili ni jambo jema sana kwani utapata fursa ya kujiandaa katika maeneo mengine ambayo yanahitaji utulivu wa kiakili zaidi.Hivyo unashauriwa kulifanya suala la mavazi mapema kuliko kusubiri siku ya usaili laweza kukupotezea muda mwingi sana.

SOMA WASIFU WAKO (CV) NA KUELEWA KILA KITU
Kila kitu ulichoandika katika “CV” yako kinaweza kujadiliwa katika usaili,kwa kuwa mwajiri huisoma “CV” yako na kukufahamu wewe na ndipo hufanya maamuzi ya kukuita katka usaili.Hivyo mwajiri anaweza kuchagua kipengele kimojawapo katika “CV” yako na kukutaka utoe ufafanuzi hata kama ni kazi ulofanya kwa kipindi kirefu kilichopita utatakiwa kukitolea ufafanuzi wa kina.Hivyo zingatia kusoma “CV” yako kwa umakini na kuelewa kila kipengele katika “CV” yako.

Mambo 2 ya kuzingatia baada ya usaili(Interview)

Written By Unknown on Monday, October 27, 2014 | 10:24 AM


Mpendwa  msomaji mara tu baada ya kumaliza usaili si kwamba utakuwa umekamilisha majukumu yako yote kwani bado kuna mambo ya msingi unayotakiwa kufanya.Hapa kuna mambo makuu mawili ya kufanya mara baada ya usaili.
 
Owner : Amewezaje team | Join us on Facebook | Welcome again
Copyright © 2015. Amewezaje - All Rights Reserved
Designed by Kijiwe Cha Wasomi