Home » » Jambo moja ambalo linaweza kukosesha nafasi ya kazi

Jambo moja ambalo linaweza kukosesha nafasi ya kazi

Written By Unknown on Thursday, October 2, 2014 | 11:29 AM


Wengi wa watu wanaoenda katika usaili kwa kuwa wanatambua kwamba unadhifu ni jambo la muhimu sana wamelizingatia sana.Changamoto kubwa ni pale wengi

wanapoamua kujipamba kwa hali ya juu kiasi cha kuwafanya wajisikie wageni katika miili yao,jambo hili linaweza kukuletea matatizo kwani utajisikia kukosa kutokujiamini na muda mwingi utajikita katika kuzingatia mapambo yako.Kumbuka kila dakika katika usaili ni ya thamani sana.


Jambo la kuzingatia hapa ni kuhakikisha kwamba unajipamba katika viwango vya kawaida na ambavyo vinakubalika katika jamii ya eneo husika na zingatia tamaduni ya mavazi ya ofisi husika.

Share this article :

Post a Comment

 
Owner : Amewezaje team | Join us on Facebook | Welcome again
Copyright © 2015. Amewezaje - All Rights Reserved
Designed by Kijiwe Cha Wasomi