Latest Post
Showing posts with label CV Writing. Show all posts
Showing posts with label CV Writing. Show all posts
1:23 AM
Hizi ndo lugha wengi hawazijui katika CV
Written By Unknown on Sunday, August 30, 2015 | 1:23 AM
-
Write in the first person, but omit the subject (I) E.g. Poor: I Completed my bachelor’s degree at amewezaje
University. Good: Completed
bachelor degree at Amewezaje University
-Use present tense for current activities, and past tense for past
activities and achievements.
•
Labels:
CV Writing
3:14 AM
Kama CV yako ina makosa haya haina thamani.
Written By Unknown on Monday, April 6, 2015 | 3:14 AM
Katika kuandika CV yako tumia muda wako vizuri na
usifanye makosa kama wengi wanavyofanya na kuishia kulalamika kuwa kazi hakuna
.Makosa yafuatayo ni ya kawaida sana lakini ukiyafanya ni hakika CV yako
haitakuwa na thamani tena:
•
Makosa
ya herufi na msamiati
•
Kutolenga
kazi maalum/kuandika kwa jumla
•
Urefu
usiofaa & ujumbe mbaya kuhusu historia ya kazi
•
Muundo
usiofaa na kutotumia vitone kubainisha ujumbe
•
Kutoonyesha
mafanikio yako
•
Ujumbe
kuhusu njia ya kuwasiliana nawe na barua pepe
•
Malengo
yasiyoeleweka kwa mwajiri
•
Uongo
/taarifa za uongo
Labels:
CV Writing
1:41 PM
Mambo manne ambayo makampuni ya kibiashara huyatarajia katika CV yako.
Written By Unknown on Monday, March 2, 2015 | 1:41 PM
Ni wazi kuwa katika biashara kila kampuni au taasisi huwana
malengo yake ambayo hutaraji kuyafikia katika kipindi fulani.Mara nyingi
malengo hayo hufikiwa kwa kupitia watumishi wa kampuni husika.Baada ya utafiti
wa muda mrefu imegundulika kuwa makampuni ya kibiashara huhitaji watu wenye
sifa kuuu nne.Hivyo unapoandika CV yako zingatia mambo haya ya msingi.
Ni kwa vipi unaweza
kukuza biashara,mfanyabiashara mara zote hupenda kuona biashara yake
ikikuwa,hivyo kama umewahi kufanyakazi kwenye kampuni ya kibiashara na unaomba
kazi onesha ni kwa vipi ulitoa mchango wako katika kukuza biashara ile,Kama
wewe hujawahi kufanya kazi onesha ni kwa vipi unaweza kuchangia katika kukuza
biashara na kampuni kwa ujumla.
11:08 PM
UNATAFUTA AJIRA? MBINU RAHISI ZA KUSHINDA USAILI WA KWENYE SIMU…
Written By Unknown on Sunday, August 31, 2014 | 11:08 PM
1. Fanya utafiti wa kutosha kuhusu shirika,Hii
itakusaidia kujibu maswali kwa wepesi.
2. Jiandae kwa maswali ya usaili wa simu,hakikisha
unayasoma maswali ya msingi katika usaili wa simu na upate majibu mapema kabla
ya usaili
3. Tumia simu ya mezani/simu ya mkononi yenye mawasliano
ya uhakika,Ili kuepuka simu kukatika wakati wa usaili.
4. Zima muito wa kusubilisha(Turn off call waiting) Hii
itaondoa usumbufu wa kupigiwa simu wakati unaongea na itakutoa katika ufanisi
wa usaili.
1:05 AM
UNATAFUTA AJIRA..WENGI HAWAFAMU MBINU NYEPESI YA KUAJIRIWA..SOMA SENTENI HIZI
Written By Unknown on Tuesday, August 26, 2014 | 1:05 AM
Ni dhairi kwamba suala la ajira kwa hivi
sasa ni changamoto kubwa sana,na hivyo pasipokuwa na mbinu mbadala huwezi
kupata ajira kirahisi kwa kipindi kirefu,utafiti unaonesha kuwa wengi wa
wahitimu wanazunguka na bahasha kila uchao pasipo mafanikio na miongoni mwa
sababu kubwa hawana uzoefu wa kutosha.Blog yako ya Amewezaje
inakuletea mbinu rahisi ya kupata kazi,na mbinu hiyo ni kufanya kazi ya
kujitolea Kuna faida nyingi sana katika kufanya kazi ya kujitolea ni wazi kuwa
hata wewe umeshuhudia watu wakipta ajira kwa njia hii.Leo nakupa faida kuu nne
za kufanyakazi kwa kujitolea(Internship/volunteer)
6:51 AM
Jinsi ya kupata mafanikio
Written By Unknown on Sunday, July 27, 2014 | 6:51 AM
Mara nyingi maisha hutupeleka sehemu ambazo hatuzielewi, tunahangaika na tunashindwa kusonga mbele sababu ya kusahau vitu vidogo vidogo ambavyo ndivyo vinabeba muhimili unaoshikilia uwezo wetu wa kukua katika mafanikio, waulize wanaume imekuandalia ukumbusho wa kanuni zinazotufanya tufanikiwe na kutujenga katika mafanikio.
#1; Wewe ni mtu pekee unaowajibika katika kutafuta na kujiletea mafanikio yako mwenyewe.
Sehemu bora na nzuri ya maisha yako itakuja pale utakapoamua na kujua hayo maisha ni maisha yako na hakuna mtu mwingine anayeweza kuyabadilisha tofauti na wewe mwenyewe, hakuna wa kumlilia, hakuna wa kumtegemea tofauti na kujitegemea mwenyewe, kutakua na hali ngumu zitakazo kusumbua ila ukiamini kwa moyo wako wote na kuongoza maisha yako utafanya kile ambacho hutaamini unaweza na utashangazwa na uwezo ulionao.



.jpg)

