Home » » Kama CV yako ina makosa haya haina thamani.

Kama CV yako ina makosa haya haina thamani.

Written By Unknown on Monday, April 6, 2015 | 3:14 AM




Katika kuandika CV yako tumia muda wako vizuri na usifanye makosa kama wengi wanavyofanya na kuishia kulalamika kuwa kazi hakuna .Makosa yafuatayo ni ya kawaida sana lakini ukiyafanya ni hakika CV yako haitakuwa na thamani tena:

        Makosa ya herufi na msamiati

        Kutolenga kazi maalum/kuandika kwa jumla

        Urefu usiofaa & ujumbe mbaya kuhusu historia ya kazi

        Muundo usiofaa na kutotumia vitone kubainisha ujumbe

        Kutoonyesha mafanikio yako

        Ujumbe kuhusu njia ya kuwasiliana nawe na barua pepe

        Malengo yasiyoeleweka kwa mwajiri

        Uongo /taarifa za uongo


Share this article :

Post a Comment

 
Owner : Amewezaje team | Join us on Facebook | Welcome again
Copyright © 2015. Amewezaje - All Rights Reserved
Designed by Kijiwe Cha Wasomi