Home » » Kama CV yako ina makosa haya haina thamani.

Kama CV yako ina makosa haya haina thamani.

Written By Unknown on Monday, April 6, 2015 | 3:14 AM




Katika kuandika CV yako tumia muda wako vizuri na usifanye makosa kama wengi wanavyofanya na kuishia kulalamika kuwa kazi hakuna .Makosa yafuatayo ni ya kawaida sana lakini ukiyafanya ni hakika CV yako haitakuwa na thamani tena:

•        Makosa ya herufi na msamiati

•        Kutolenga kazi maalum/kuandika kwa jumla

•        Urefu usiofaa & ujumbe mbaya kuhusu historia ya kazi

•        Muundo usiofaa na kutotumia vitone kubainisha ujumbe

•        Kutoonyesha mafanikio yako

•        Ujumbe kuhusu njia ya kuwasiliana nawe na barua pepe

•        Malengo yasiyoeleweka kwa mwajiri

•        Uongo /taarifa za uongo


Share this article :

Post a Comment

 
Owner : Amewezaje team | Join us on Facebook | Welcome again
Copyright © 2015. Amewezaje - All Rights Reserved
Designed by Kijiwe Cha Wasomi