Mpendwa msomaji ni wazi kwamba suala la ajira linahitaji
mbinu nyingi.Kwa leo blog yako ya Amewezaje inakuletea siri chache za kufanya
kubadili kazi ya muda(internship) kuwa ajira ya kudumu,soma dondoo hizi..
1. Jenga mwonekano mzuri wa maadili ya kazi
2. Kamilisha majukumu ulopewa kwa wakati
3. Siku zote zingatia na kufuata taratibu na sheria za
shirika
4. Bainisha masuala ya msingi ambayo hayafanyiki katika
shirika unayoona yatasaidia shirika
5. Jenga mahusiano mazuri na watumishi wenzako
6. Kuwa karibu sana na msimamizi wako
7. Unapokuwa umekamilisha majukukmu yako wawezauliza majukumu
zaidi badala ya kusubiri mara zote uletewe majukumu
8. Fanya kazi kwa ujuzi wa hali ya juu zaidi
………..Maktaba YETU leo……….
“Great vision without great
people is irrelevant.”
Jim
Collins, Good to Great
Post a Comment