Lugha ya mwili inanafasi kubwa sana katika usaili kuliko
kile unachosema,Kupitia lugha ya mwili ni rahisi sana kueleweka kuliko kuongea
maneno mengi ukiwa umeganda mithiri ya kuwa katika barafu.Blog yako ya
amewezaje inakupa dondoo muhimu za kuzingatia katika utumizi wa lugha ya
mwili(body language)
· 1. Mawasiliano ya macho kati yako na Yule
anayekusaili.Hii inakufanya uweze kueleweka na kufukisha ujumbe kwa njia
nyepesi.
· 2. Uwe na uso wa furaha na wa kujiamini.Hii
inakusaidia kuwa na mvuto kwa anayekusaili na azidi kukusiliza.Epuka uso wa
kukunjamana usaili si vita.
· 3. Weka mikono yako juu ya magoti au mezani sio
kifuani.Hii inaonesha kwamba uko wazi na hufungwi na kitu chochote na
itakusaidia katika kujieleza.
· 4. Unaponyanyua mikono wakati wa kuzungumza
punguza sauti yako iwe ya utulivu.
· 5. Epuka kuonekena mkakamavu wa kupitiliza
lakini pia usionekane kuwa na wasiwasi.
………..Maktaba YETU leo……….
“Every day is a training day and every event is a training event.”
James Pritchert
“Every day is a training day and every event is a training event.”
James Pritchert
1.jpg)
Post a Comment