Baada ya utafiti wa muda mrefu kutoka kwa wataalam
mbalimbali wa usaili,Blog yako ya Amewezaje.Inakuolekeza
sehemu tano muhimu za usaili ambazo ndio nguzo kuu za usaili wowote ule.Nikuombe
uzingatie sana mpendwa msomaji kwani kwa kuyajua haya utajiweka katika
mazingira ya kupata ajira unayoitaka,Kumbuka siku zote unapojibu maswali
usihanisha na maisha yako halisi yenye uzoefu unaoendana na kazi uloomba hii
itakusaidia kujibu maswali tata katika usaili.Haya ndo maeneo ambapo maswali
tata hutokea…..
a. Huwezo
wako binafsi.
Hii inajumuisha:
maarifa,uwezo wa kukabiliana na hatari,uwezo wa utendaji kazi
binafsi,uadilifu
Swali la kawaida hapa
ni:Niambie wakati ulipopata changamoto katika kazi au katika wazo ulotoa.
b.Uwezo
wa usimamizi.
hii inajumuisha: Uwezo wako wa kuchukua majukumu ya watu
wengine; uongozi, uwezeshaji, kufikiri kimkakati endelevu, usimamizi wa mradi
na kudhibiti usimamizi wake.
Swali la kawaida hapa ni: Niambie
kuhusu wakati wewe uliongoza kundi kufikia lengo.
c.Uwezo
wako katika kupangilia mambo.
hii inajumuisha:Uwezo wako
wa kufanya maamuzi,njisi unavyoweza kutatatua matatizo, ubunifu,mambo
ulojifunza kwa vitendo.
Swali la kawaida hapa ni:
Niambie wakati ulipobainisha njia mpya ya kutatua tatizo.
d.Uwezo
wa kufanyakazi na watu.
Hii
inajumuisha:mahusiano yako kijamii,katika kazi,uwezo wa kufanya kazi kitimu na
namna unvyoshrikiana nao.
Swali la kawaida hapa ni:Elezea
wakati ulipofanya kazi na watu kwa pamoja.
f.Uwezo
wa kimvuto
Hii inajumuisha: uwezo wa
kuwa na maono/mitazamo chanya,utulivu katika utendaji,mtazamo wa kimatokeo
zaidi.
Swali la kawaida hapa ni:Ni
wakati upi mgumu ulipofanya kazi na ukajisikia kupata mafanikio katika hali
hiyo ngumu.
KUMBUKA:Tenga
muda wa kuwa na maandalizi ya kutosha kabla ya kwenda kwenye usaili.
………..Maktaba YETU leo……….
. “When hiring key employees, there are only two qualities to look for: judgement and taste. Almost everything else can be bought by the yard.”
. “When hiring key employees, there are only two qualities to look for: judgement and taste. Almost everything else can be bought by the yard.”
John W. Gardner
.jpg)
Post a Comment